Description
NATAFUTA NYUMBA YA KUNUNUA MWANZA, ISIYOZIDI MILIONI 25. SPECIFICATION. VYUMBA VITATU VYA KULALA MASTER BED ROOM, JIKO NA PUBLIC TOILET. NA ENEO AMBALO HALIPUNGUI SQM 1000. ISIYO NA MGOGORO WOWOTE., VIELELEZO VYOTE VIWEPO NA SERIKALI YA MTAA NI VYEMA WAWEPO. HATA KAMA TUTAANDIKISHANA KWA MWANASHERIA. MKOA : MWANZA ENEO : PASIANSI AU KISEKE