Description
Eneo zuri, Nyumba iliyopo Ina vyumba 6. Unaweza kuiboresha au kuivunja kujenga mjengo mpya. Mtaa mzuri. Umbali wa kilomita 7 kutoka Ferry. ___________________ ANGALIZO: Malipo ya dalali ni 10% Uonyeshwaji ni Tshs.50,000. (Unalipa MNUNUZI) ___________________ Umiliki Mkataba wa mauziano. Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.