Description
Nyumba inauzwa ipo mkuranga Nyumba ya vyumba 6 na sebure jiko master2 sitting room dining room kitchen stoo toilet parking umeme bado, maji yapo Nyumba uwanja mkubwa Haipo mbali na Barbara ya lami km 2 kufika katika Nyumba ilipo, Nyumba bei yake million 70