Description
Nyumba inauzwa million 45 maeneo ya goba mivumoni sehemu nzuri sana ina vyumba3 na master na sebule na jiko choo kwa maelezo zaidi tupigie simu.Kwa mahitaji yako ya kupata nyumba au Viwanja bei nafuu maeneo ya Dares-salaam vipo mikocheni, msasani, kijitonyama, makumbusho,Sinza, kinondoni, mbezi beach vingine vina mabanda waweza kufanya marekebisho na kuishi zingine waweza bomoa na kujenga nyumba mpya ya kisasa safi, vile vile tuna nyumba za biashara zinazo uzwa kwa ajili ya kuongeza kipato chako wewe mfanya kazi au mfanya biashara au mstaafu wote mnakaribishwa.