24.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA YA GHOROFA YA KUMALIZIA, VYUMBA VINNE(4) TSHS.160MILLION- KIBADA KIGAMBONI.

TZS 160 000 000

Description

NYUMBA YA GHOROFA YA KUMALIZIA, VYUMBA VINNE(4) TSHS.160MILLION- KIBADA KIGAMBONI. Kiwanja kina SQM.1400 na kina Hati Miliki( Title Deed) ________________ ANGALIZO: Malipo ya dalali ni 10% Uonyeshwaji ni Tshs.50,000. (Unalipa MNUNUZI) ________________ Juu Kuna vyumba vya kulala ambavyo vina Vyoo ndani. Chini Chumba kimoja Cha kulala, Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia. Maji Safi yameshaunganishwa, Umeme upo jirani na pia Kuna Duka. Ujenzi Ni wa kisasa. Nyumba Ipo ndani ya Fensi. Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz

Member since 2012.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam