Description
• Mahali: Magari 7, kituo cha kwanza kutoka stendi kuu kama unaelekea Kibamba • Hali ya nyumba: Inahitaji finishing • Bei: TZS 35,000,000 • Hadhi ya kiwanja: Hakijapimwa ila majirani wamepima • Ukubwa wa kiwanja: 225 sqm • Nyaraka: Barua serikali ya mtaa . Tanzawise Estates Dar es Salaam . mita 300 kutoka Morogoro Road • chumba kimoja master, viwili vya kawaida • sebule • jiko • washroom ya jumuiya • varanda ya mbele • haina uzio • gari inafika • haina maegesho ya gari • haijavutiwa umeme ila imefanyiwa wiring • umeme na maji vipo jirani • ni nzuri kwa kupangisha . • Visit our listing to find more and different properties. • If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts