Description
Nyumba Kali sana Ipo mbagala chamanz mzambalauni jiji la dar es salaam wilaya ya temeke Ina uzwa tsh mil (60) tu Si mchezo mdau wangu Nyumba nzuri sana Ina vyumba vitatu vya kulala vyumba vyote ni masters bedroom ina sitting room na daining room na jiko na store ina public toilet pamoja na maji na umeme Eneo square meter (550) Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa Kutoka barabara kuu ya Rami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 8 tu kwa mwendo wa minguu