Description
Nyumba nzuri Safi ya kisasa inauzwa Sinza kwa Sasa ipo wazi Ila Kodi yake 600,000 kwa mwezi Bei ya kupanga hivi km ilivyo Nyumba ipo sheklango Maeneo ya Hotel ya Rombo green view location safi Ina vyumba 3 kimoja master sitting & dining room kitchen public toilet parking ipo gari ndogo 3 zinaingia Ina hati Title Deed wahi usikose Inauzwa milioni 85 tu bei ya kizalendo, Pia tunazo nyumba zinazo uzwa bei nafuu maeneo ya Kariakoo, Kinondoni, Mikocheni,Mbezi Beach, Sinza na Kijitonyama. Kwa mahitaji yako kutafuta nyumba za kununua za bei nafuu na Viwanja maeno tulivu apa Dar tupige simu tutakusaidia.