05.12.2021Tanzania

Nyumba Inauzwa Lukobe Morogoro Mjini

TZS 45 000 000

Description

NYUMBA INAUZWA IPO LUKOBE MOROGORO MJININYUMBA IPO ENEO LINALOFIKKA KIURAHISINYUMBA IPO KWENYE KIWANJA KILICHOPIMWA NA KINA HATI.UKUBWA WA UWANJA NI SQUARE MITA 1470 SAWA NA 41 KWA 36.NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE YENYE DINING NA SITTING, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILET.PIA INA FLEMU MBILI ZA BIASHARA.PIA NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA CHENYE MATUMIZI YA MAKAZI NA BIASHARA.IPO KARIBU NA HUDUMA ZA JAMII.BEI YAKE NI MILIONI AROBAINI NA TANO(45, 000, 000)KWA MAWASILIANO ZAIDI0714444838/0752481398

Mwalimu F. Y. M.

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location