Description
Nyumba Inauzwa ipo kinyerezi Ina vyumba vitatu kimoja master sitting room dining room public toilet.Nyumba inataka finishing ya kumalizia uwanja wake urefu 20 kwa 22.Inauzwa milioni 40 maongez yapo kidogo kwa maelezo zaidi tupigie,pia tunazo nyumba za milioni35 maeneo ya tabata segerea na sehemu nyingine tupigie simu tukusaidie.