06.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA INAUZWA KIMARA TEMBONI

TZS 80 000 000

Description

Nyumba ya kisasa inauzwa kimara temboni inavyumba vitatu master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic ukubwa wa eneo ni SQMT 700 document hati ya mauziano umbali kilomita 2 kutoka barabara kuu ya morogoro Road // services changer ya kupelekwa kuona nyumba ni elfu 30000/=

Emmanuel Bembe

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam