13.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA INAUZWA IPO KITUNDA KIVULE MATEMBELE

TZS 80 000 000

Description

Nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet nyumba ipo vizuri, ndani ya fensi, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20,000/=

Mpanga

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam