27.03.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA INAUZWA IPO KIMARA MWISHO

TZS 75 000 000

Description

NYUMBA INAUZWA KIMARA MWISHO ===== ENEO SQM 400 Bei: Mil. 75 #maongezi yapo ===== Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom Sebule jiko na public toilet ==== CCTV CAMERAS,WATER PUMP,HEATER ZA MAJI BARIDI NA MOTO ==== DOCUMENTS SERIKALI ZA MITAA ===== Umbali KM 1.5 Toka kimara Mwisho ==== Kupelekwa kuona Nyumba ya kununua 20

DALALI T.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam