Description
NYUMBA MPYA KABISA INAUZWA IPO KIBAHA KONGOE PICHA YA NDEGE MKOA WA PWANI BEI MILIONI [ 35,000,000/= MILIONI NYUMBA INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER BEDROOM SITTINGROOM DININGROOM JIKO STORE PUBLICK TOILET INA MAJI UMEME NK NYUMBA INA DOCUMENTS YA SEREKALI YA MTAA UKUBWA WA KIWANJA SQMT [ 400 ] UMBALI KUTOKA MAIN ROAD MITA [ 600 ] NYUMBA IPO JIRANI NA HUDUMA ZOTE ZAKIJAMII WAHI SASA MDAU WANGU UJIPATIE NYUMBA KWA BEI POA KABISA WOTE MNAKARIBISHWA