Description
Nyumba imekamilika na inaweza kuhamiwa muda wowote. Ina vyumba viwili na sebule pamoja na jiko. Yafaa kwa familia ndogo. Haijawekewa vigae ingawa tayari floor ilishawekwa, hakuna maji pamoja na umeme (ingawa mfumo wa umeme-wiring ulishafanyika upande wa sebule na taa za nje. Umeme wa Tanesco bado haujaingia. Kiwanja kimepimwa na ramani ya kiwanja ipo tayari serikali za mtaa. Ni eneo linaloweza kujengwa nyumba mbili (kubwa na ndogo) Kiwanja ni Sqm 480