10.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba Inauzwa Dar es salaam

TZS 58 000 000

Description

Nyumba ipo mbagala chamazi magengeni,wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi nne, sitting room, dining room, flame mbili za biashara na jiko. Bei yake ni shilingi milioni 58 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu

Sele B.

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam