10.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba Inauzwa Dar es salaam

TZS 58 000 000

Description

Nyumba ipo mbagala chamazi Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi nne, sitting room, dining room na jiko Bei yake ni shilingi milioni 58 Njoo tuzungumze, Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu

Sele B.

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam