10.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba Inauzwa Dar es salaam

TZS 26 000 000

Description

Inahitaji soap soap tu kidogo ili upate booonge la nyumba Nyumba ipo mbagala mbande, wilaya ya Temeke jijini Dar es Nyumba ina vyumba 6 na sitting room.Vyumba vitatu vipo nyumba kubwa na vyumba vi tatu vipo pembeni,pia ina flame mbili Ni nyumba kubwa na ni mzuri,sema kama nilivyosema awali kua inahitaji soap soap tu Bei yake ni shilingi milioni 26 Kwa maelezo zaidi nipigie Namba zangu

Sele B.

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam