17.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam
Description
Nyumba ipo mbagala chamazi, wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi nne, vyoote ni master bedroom, sitting room, dining room na jiko Bei yake shilingi milioni 95 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu
Chat with Sele B.
Call Sele B.