18.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam
Description
Nyumba ipo mbagala chamazi magengeni wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi nne, sitting room, dining room na jiko Bei yake ni shilingi milioni 48 Njoo tuzungumze Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu
Chat with Sele B.
Call Sele B.