18.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam
Description
Nyumba ipo mbagala chamazi kwa mapunda wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi tatu, sitting room, dining room na jiko Bei yake ni shilingi milioni 20 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu
Chat with Sele B.
Call Sele B.