Description
Nyumba ipo mbagala chamazi wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi nne, sitting room, dining room na jiko Nyumba bado finishing kidoogo tuu.Ila ukimalizia utakua umepata booonge la nyumba. Bei yake ni shilingi milioni 30 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu