Description
Nyumba ipo nguvu kazi virobo chanika jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi wili, sitting room, flame mbili za biashara na store Nyumba ipo kwenye mtaa wa mishe mishe Bei yake ni shilingi milioni 19 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu