08.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam
Description
Nyumba ipo mbagala chamazi wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi tatu, sitting room, dining room na jiko.pia ina kisima cha maji baridii. Bei yake ni shilingi milioni 68 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu
Chat with Sele B.
Call Sele B.