Description
Nyumba ipo mbagala mzambarauni,majimatitu, wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi tatu, sitting room, dining room na jiko. Nyumba ipo kwenye mtaa mzuuri sana. Bei yake shilingi milioni 38 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu