09.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba Inauzwa Dar es salaam

TZS 33 000 000

Description

Nyumba ipo mbagala chamazi wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi tatu, sitting room, dining room na jiko Pia ina kisima cha maji baridii Bei yake shilingi milioni 33 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu

Sele B.

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam