Description
Nyumba ipo mbagala chamazi wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi nne, sitting room, dining room na jiko.vyumba vyoote ni master bedroom Nyumba ni kuubwa sana.ina ukubwa wa futi 100x70 Bei yake shilingi milioni 98 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu