Description
Nyumba ipo mbagala chamazi wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi nne, sitting room, na jiko.pia ina eneo pembeni, ukijenga fensi utalaza gari mbili ndani Bei yake shilingi milioni 26 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu