26.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba Inauzwa Dar es salaam

TZS 43 000 000

Description

Nyumba ina vyumba 6, sittig room, dining room na jiko. Nyumba ipo mbagala chamazi wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina eneo kuubwa sana,unaweza kujenga nyumba nyengine kama hii na parking ikabaki ya maana. Bei yake shilingi milioni 42 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu

Sele B.

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam