Description
Nyumba ipo mbagala chamazi mfenesini wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi tatu, sitting room, dining room na jiko Nyumba ipo jerani na barabara kuu ya Iami. Bei yake shilingi milioni 35 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu