31.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba Inauzwa Dar es salaam

TZS 46 000 000

Description

Nyumba ipo mbondole,kata ya msongola wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam Nyumba ina vyumba vi tatu, sitting room, dining room na jiko Nyumba ina eneo kuubwa sana.unaweza kujenga nyumba zengine 2 kama hizi,na Eneo bado likabaki. Bei yake shilingi milioni 46 Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu

Sele B.

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam