Description
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen,Store&Public Toilet Umiliki : Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Hati Iko Mbioni Kutoka) Ukubwa Wa Eneo: SQM 1700 Mahali : Boko Magengeni Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/=