Details
Description
Nyumba nzuri ya kisasa inapangishwa mbezi beach ya vyumba3 master na sitting & dining room, kitchen public toilet parking Garden,servant quarter nyumba ipo mazingira mazuri ya kuishi, vile vile tunazo nyumba za vyumba4,5,6 maeneo ya mbezi beach kunduch beach, bahari beach, Tegeta, boko na mbweze zote nyumba za kisasa ukipenda tupigie simu.