21.02.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba ina uzwa ipo dar es salaam kigamboni

TZS 24 000 000

Details

Price per square unit
yes

Description

Tangazo tangazo mdau nyumba inauzwa ipo jijini dar es salaam wilaya mpya ya kigamboni mwembe mtengu ina vyumba vinne ina master ina sittingi room ina dainngi room kisima chamaji cctv camera jiko store eneo ,sqm 1200, ina docomenti za wizara ya arizi

AbdallahHakweya1

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam