Description
Nyumba inauzwa Tsh 250M Ina vyumba 3 Sebule jiko na sehemu ya kulia Chumba kimoja master choo cha public Nyumba ipo sinza Pia nnje ina nyumba 2 yenye vyumba viwili kila mmoja Packing kubwa Nyumba iko vzr sana Umeme Maji Iko karibu na barabari ni dkk 3 kufika stend kutoka nyumba ilipo