Description
Nyumba 3 ndani ya fensi moja zinauzwa nyumba zipo goba mpakani Kati ya hizo moja ni underground mbili za kawaida nje zipo frem mbili ukubwa wa eneo ni miter 50 x 50 bei milion 190 maongezi yapo golofa Ina vyumba 5 na nyumba hizo mbili kila moja ina vyumba v3 sebule, jiko,daining, chumba master, public toilet. jumla nyumba zipo 3 ndani ya fensi eneo limepimwa hati bado karibuni goba mpakani