Details
Description
Ni nyumba mbili zinazojitegemea kwenye kiwanja kimoja. Kila moja Ina vyumba 3 (1 masta) Sebule, Jiko, Dining, Store na Choo cha Familia ndani. Parking kubwa Nzuri na yenye paving. Moja Kodi Tshs.500,000/mwezi. Nyingine Tshs.600,000/mwezi. ________________ ANGALIZO: Malipo ya dalali ni Kodi ya mwezi 1. Uonyeshwaji ni Tshs.20,000. (Unalipa MPANGAJI. Ukijijua huwezi kumlipa Dalali tafadhali usiwasiliane nami) ________________ Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.