Details
Description
?Nunua eneo yetu ya skwaya mita 1,200 leo na jenga nyumba ya ndoto yako kesho yake! ?Chanika Ilala, KM 33 kupita baada ya Uwanja wa Ndege DSM. Ukubwa 1,200 skwaya mita. ? Jenga nyumba kubwa ya bungalow au NYUMBA 4 kuwa Compound Moja (uishi wewe mwenyewe na kupangisha nyingine). ? Hati Miliki safi ya miaka 99 tunao mkononi!!! ? Bei ya mauzo Sh milioni 35 tu. ? Kwenda kuiona wasiliana na ➕2️⃣5️⃣5️⃣