Details
Description
VIWANJA VIZURI VYA MAKAZI VINAUZWA NYASHISHI MTAA WA NGELEKA ✔ UKUBWA NI 20×20 , 20×25, 30×20, 40×20 N.K ✔ HUDUMA ZA KIJAMII ZIPO KUANZIA MAJI, UMEME, BARABARA, HOSPITAL NA SHULE VIPO ✔ BEI NI LAKI SABA NA NUSU [ TSH 750,000 ] NA KUENDELEA INATEGEMEANA NA UKUBWA WA KIWANJA/ENEO ✔ MAONGEZI YAPO ✔ NYARAKA NI HATI YA MAUZIANO KUTOKA OFISI YA SERIKALI YA MTAA ✔ RUKSA KUUNGANISHA KIWANJA ZAIDI YA KIMOJA ✔ UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI YA MWANZA - SHINYANGA ROAD NI 3KM ✔ VIWANJA PIA VIPO KARIBU NA WANAPOJENGA BANDARI KAVU [ SGR ]