Description
SHAMBA LA EKARI 4 LINAUZWA NYANGUGE -SHAMBA LIMEANZIA ZIWANI -UKUBWA NI EKARI NNE ( 4 ) -PANAFAA KWA MAKAZI, KILIMO, UFUGAJI N.K -NYARAKA NI HATI YA MAUZIANO KUTOKA OFISI YA SERIKALI YA KIJIJI -BEI ML 20 -MTEJA ANAZINGATIWA NA KUPEWA USHIRIKIANO ASILIMIA 100%