20.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Mbutu Beach Plot Kigamboni Karibu tukuuzie Viwanja

TZS 6 420 000

Details

Price per square unit
yes

Description

⚫ Viwanja hivi vipo upande wa bahari na vimeface mikoko. ⚫Bei yetu cash ni Tshs 15,000 kwa kila square meter moja. ⚫ Mradi huu wa Viwanja upo umbali wa Kilometre 17 kutoka fery na Kilometres 19 kutoka daraja la Nyerere. ⚫Unaweza lipa cash au Kwa installment. ⚫ Viwanja vimepimwa na utapata hati. ⚫Ni Viwanja vizur kwa makazi na biashara. ⚫ Kutembelea site ni kila siku. ⚫Vipo viwanja vya ukubwa mbalimbali. ⚫Pia tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Kisota Kigamboni, Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vikawe , Mapinga Bagamoyo na Dodoma pia tuna miradi ya Viwanja maeneo ya Ihumwa Elshaadai, Chamwino, Mtumba, Nala, Chahwa, Kitelela, Iyumbu West. ⚫Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza na kwa Dodoma tupo Capital City Mall...Karibu tukuuzie

Property I. C.

Member since 2017.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam