31.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Mashuka ya cotton

TZS 20 000

Condition:

NEW

Description

Pendezesha kitanda chako kwa mashuka mazuri ya cotton Size ni 6×6, yanatosha kitanda cha 3×6,4×6,5×6 Unapata shuka 2 na foronya zake 2 Hayapauki wala kutoa vipele Hayatoi rangi ukifua

ARAPHA

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam