19.02.2021Tanzania, Dar Es Salaam

MASHINE ZA KUCHUJA MAJI CHUMVI

TZS 6 200 000

Condition:

NEW

Description

Reverse osmosis water system (MASHINE) ni mashine za kisasa kabisa ambazo kusafisha maji ya MITO,BAHARI, MAZIWA ,MADIMBWI ,VISIMA NK na kuwa safi na salama kwa kunywa Mashine hizi zina uwezo wa kuondoa Chumvi Magadi Matope Kitu Harufu mbaya Arsenic &mercury chemical Kubalance pH level ya maji Kuboost calcium Mashine zipo kuanzia kwa matumiz ya #viwandani mpaka #majumbani

Stainless S. T. T.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam