Description
Tenki za stainless steel 304 material, hazishiki kutu wala ukungu........ Mashine zinazobadili maji yenye chumvi,magadi,kutu,harufu ambayo hayafai kunywa ...kuwa maji safi na salama nayakunywa.... Water pump za migodini,zakusambaza maji,za visima vyakuchimba kwa drilling machine zinapatikana,tuwasiliane kwa namba.