Details
Description
#MASHAMBA YANAUZWA #MPIJIKIBAHA Sehemu hii inafaa sana kwa kuilma na kufuga mazao ya aina yoyote Ni sehemu ambayo umeme pamoja na maji vinapatikana Shamba lipo umbali wa 12km kutoka Tumbi Referal Hospital #Bei ni Tsh 3,500,000 (milioni tatu na nusu) kwa kila akari Wahi sasa, bei ni nafuu sana