Details
Description
⚫Viwanja vipo umbali wa Kilometres 4 kutoka barabara ya rami. ⚫Bei yetu ni 25,000 kwa square meter moja. ⚫Mradi huu wa Viwanja upo Kilometres 1 kutokea Mchango wa Pesa Beach. ⚫Viwanja vimepimwa na vina hati. ⚫ Kutembelea site ni kila siku. ⚫Viwanja vinafaa Kwa Makazi na biashara. ⚫Vipo viwanja vya ukubwa mbalimbali. ⚫Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza, KARIBU.