Condition:
NEW
Description
Tunauza Mabati bora ya kisasa yasiyopauka toka Kampuni za ALAF, SUN SHARE, na AFRINA kwa Bei ya punguzo toka Kiwandani. *Tuna Mabati ya Msouth IT 4 na IT 5 kwanzia 9,500/= hadi 17,100/= kwa mita 1 *Tuna Mabati ya Vigae(versatile) na Romantile kwanzia 17,220/= hadi 19,700/= kwa mita 1 kutokana na aina ya material yake. *Tuna Mabati ya kawaida migongo midogo ya rangi na meupe kwanzia 20,000/= hadi 29,000/= kwa bati moja la mita 3 Tunayo Misumari ya Bati ya rangi, Kofia na Valley. Tunapatika Buguruni Chama