Description
*INAUZWA* NYUMBA YA KISASA NA DESIGN MPYA KABISA!!! . Ipo Kigamboni Mjimwema, kata ya Zambarauni, karibu na sheli ya SIMBA. . Inao vyumba 3, toilet 2 . Inafaa sana kununuliwa na makampuni kuwapa wafanyakazi wapate nyumba nzuri ya kuishi, au mwekezaji wa nyumba kununua kupangisha nyumba (tutaweza kukupatia mteja ya kupangisha) na kupata mapato ya kila mwezi (asset), au wale wateja wamechoka kukodisha tu na tayari kununua nyumba yao ya awali. . Muuzaji anao mkataba ya kwenda nje kufanya kazi inabidi haraka tu auze hii nyumba. . Wote wanakaribishwa kuja kuicheki nyumba na kutoa ofa yao. . Inao umeme ya TANESCO na maji ya DAWASCO!!! . NAFASI YA KUPAKI GARI 2 PIA IPO. . Imezunguka na watu wamejenga manyumba ya kisasa... . Bei ya mauzo Tsh milioni 75 tu! Maelewano yapo!!! Karibu! . Kuiona wasiliana na ABM&Co. Real Estate Services Instagram/FB @abmcorealestate