Details
Description
Apartment ya kisasa kabisa inafaulishwa ina vyumba 2 vya kulala kimojawapo ni master, sebule, jiko na choo cha familia kwenye fensi moja zipo apartment 4 na hii moja ndio inafaulishwa na kila apartment inajitegemea kwa kila kitu zipo kimara korogwe upande wa kulia km unaenda Mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 15 kwa miguu Bei ni 300k x 6