16.10.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Kilichokuwa Chuo Kinauzwa, Buguruni - Dar es Salaam

TZS 350 000 000

Details

Price per square unit
no

Description

• Mahali: Buguruni Malapa, mita 25 kutoka Uhuru Road • Matumizi: Chuo (VETA) • Ukubwa wa eneo: Mita za mraba (sqm) 416 • Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa • Nyaraka: Hati ya wizara • Bei: TZS 350,000,000 • Kupelekwa kuona: TZS 20,000 . Ze Tanza Estates Dar es Salaam . kilikuwa ni chuo (open school) chini ya elimu ya VETA • kina ofisi, madarasa, vyoo na facilities nyinginezo • unaweza kubadili matumizi ya eneo na kujenga apartments, n.k • maji na umeme vipo NB: Kwa sasa operation za chuo zimehamia eneo jingine hivyo majengo ya chuo ndiyo yanayo uzwa. Wote Karibuni . • Visit our listing to find more and different properties. • If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts

Kwetanza E.

Member since 2014.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam